May 18, 2014

  • DR FLORENCE TEMBA AKIWA NA MAJONZI BAADA YA KUFIWA NA MBWA WAKE

     
     
     

    ? Mbwa wa Dr Florence Temba akiwa mikononi mwa baba yake baada ya kufa kutokana na kuteleza kwenye ngazi na kuangukia kichwa kisha kukata roho papo hapo. Mbwa wa Dr Florence hakuna asiye mjua kwa yeyote aliewahi kufika nyumbani kwa Dr Temba hakukosa kumuona mbwa huyu. Kitu kilichosababisha mbwa huyu kufa ni kuanguka akikimbilia chakula anachokipenda ambacho ni Cheese.  Alikimbia kwenye ngazi  za kushuka chini kwa furaha na bila uangalifu na kujikuta akiteleza kutoka gorofani hadi chini na papo hapo umauti kumkuta.
    Dr Florence na majonzi tele baada ya kufiwa na mbwa wake aliempenda sana na kumfanya ni mmoja ya ndani ya familia yake.

    Hapa ni watoto wa Dr Florence akiwa na marehemu mkononi wakimfariji mama yao kutokana na kufiwa na mbwa wake aliekuwa amempa jina la chi chi.
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.