May 22, 2014

  • BREAKING NEWZZZ:- NAIBU WAZIRI AJIUA SOMA SABABU HAPA LIVE!!

     
     
     


    Godfrey Kamanya Naibu waziri wa serikali za mitaa ajiua nyumbani kwake baada ya kushindwa uchaguzi na kupoteza jimbo lake la Lilongwe Msodzi North. Tukio hili la kipekee na la aina yake limeripotiwa kutokea usiku wa saa 3.30 huko Area 10 Lilongwe....!!
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.