Serikali ipige
marufuku makampuni ya kutengeneza Mabango kuweka mabango karibu na Barabara ya
wekwe mbali na barabara mita 20 kutoka Barabara kuu hili limeanguka Round about
ya Royal Oven njia ya
kwenda Lugalo Golf course (Avacado)Na hii siyo mara yakwanza mabango kuanguka
kunasiku pale katika ya seilender bridge na Kinondoni lilianguka uzuri kulikuwa
katika mikoko!
0 comments:
Post a Comment