Kutokana na malori mengi kuegeshwa kwenye barabara ya Mandela eneo la relini karibu na Mwananchi kinyume cha sheria, askari wa usalama barabarani wamelazimika kung'oa namba za usajili za malori hayo na kuondoka nazo, kama lori hili linavyoonekana bila namba (Picha na mwandishi wa ITV)
0 comments:
Post a Comment