July 09, 2014

  • SPIKA WA BUNGE LA UHOLANZI NA UJUMBE WAKE WAMTEMBELEA SPIKA MAKINDA


    SPIKA WA BUNGE LA UHOLANZI NA UJUMBE WAKE WAMTEMBELEA SPIKA MAKINDA
    1
    Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkaribisha Spika wa Bunge la Uholanzi Mhe. Anouchka Van  Miltenburg (mwenye koti jeupe) alipofika Ofisini kwake leo kwa ziara ya kikazi.  Wengine ni baadhi ya Wabunge kutoka Bunge la Uholanzi alioambatana nao
    3
      Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika mazungumzo na  Spika wa Bunge la Uholanzi Mhe. Anouchka Van  Miltenburg (mwenye koti jeupe) pamoja na ujumbe wa wabunge wanane kutoka Bunge la uholanzi ambao wapo nchini kwa ziara ya kikazi.

    4
      Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkabidhi zawadi ya picha ya jingo la Bunge la Tanzania  Spika wa Bunge la Uholanzi Mhe. Anouchka Van  Miltenburg mara baada ya kufanya nae mazungumzo ofisini kwake leo. Spika Miltenburg yupo nchini na Ujumbe wa Wabunge wanane kutoka Bunge la Uholanzi kwa ziara ya kikazi.
    6
      Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Uholanzi Mhe. Anouchka Van  Miltenburg na ujumbe wake mara baada ya kukutana nao leo.
     Picha na Owen Mwandumbya


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.