May 20, 2014

  • ANGALIA PICHA MWILI WA MAREHEMU ADAMU KUAMBIANA ULIVYOAGWA VIWANJA VYA LEADERS JIJINI DAR

     
     
     
     
    Msanii wa filamu za maigizo nchini kutoka kambi ya Bongo Muvi, aliyejizolea umaarufu miaka ya hivi karibuni, Adam Kuambiana anatarajia kuzikwa leo Mei 20, 2014 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam alipozikwa msanii mwenzake, Steven Kanumba.

    Kwa sasa mwili wa Marehemu  Adam Kuambiana upo katika viwanja vya Leaders Club katika kuagwa na wananchi.

    Wengine nao wapo busy...
    CHANZO HABARI NA MATUKIO BLOG
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.