Mhhh katika hali isiyo ya kawaida wale watu ambao walikuwa wapenzi na penzi lao kuleta gumzo sana hapa mjini yaani Diamond na Penny sasa wamerudi kivingine. This time ni baada ya Diamond kutwaa tuzo zake kadhaa akaamua arudi kwa mtoto Penny (tunadhani ni kupiga picha tu). Sisi hatusemi uongo jionee mwenyewe picha hapa chini.
hawa nao wanapenda sana masihala.
ReplyDelete