Mwanamke
huitaji kunyegeshwa tena baada ya bao lake la kwanza, inategemea lilipopatikana
kama kwenye Kipele G, Kwenye Kisimi, Mwisho wa Uke au kuta za uke. Ikiwa amepata
bao "via" kisimi hapo lazima atahiji muda kidogo wa kupumzika kama dakika kumi
hv kisha wewe mpenzi wake ni wajibu wako kumnyegesha tena kwa kucheza na sehemu
nyngine za mwili wake mbali na Kisimi. Inaweza kuwa kum-busu, kumla denda huku
unamshika-mshika na kadhalika. Mwanamke kuwa na
uwezo mdogo wa kungonoka (low sex drive) ni wazi kuwa hamjuani hivyo yawezekana
yeye yuko hivyo na mara baada ya wewe kupiga bao la kwanza kisha kurudi na
"kumpigisha" yeye bao lake ndio ilikuwa mwisho wa "game" mpaka kesho au labda
wiki ijayo kama sio mwezi ujao. Kama ulihitaji tena kwenda basi ulitakiwa
kumfanya aendelee kuwa "interested" kiakili na kimazingira zaidi ya kimwili na
pia ungepaswa kutumia kilainisho kwa ajili ya Condom au hata K-Y
Jel. Mwanamke kutokuvutiwa
na ufanyaji wako, swala la kungonoana ni pana na sio kusimamisha kisha kupiga
nje-ndani mwanzo mpaka mwisho... usika zanie NJe ndani Nje ndani sana. Cheza
sindimba au msondongoma katika mduara bila kuvuta filimbi nje wakati unaASALISHA
mambo mengine! Baada yamuda kadhaa wakati unahisi au unasikia pumzi fulani ndio
endeleza pupa. Mwanamke kutokuwa na
mapenzi pia inaweza kuwa sababu ya Uke wake kuwa mkavu mara baada ya zile nyege
mshindo kumalizika/kumtoka, mwanamke kama hana mapenzi huishiwa hamu ya
kuendelea kungonoka haraka sana mara tu baada ya bao lake la
kwanza. Kuchoka au Uvivu,
mwanamke kama kachoka au mvivu hali hiyo ya ukavu ukeni hujitokeza kwa vile
akili yake inakuwa haipo/haizingatii kilekinachofanyika bali saa ngapi atapata
nafasi ya kwenda kulala/pumzika. Condom huwa
hazisababishi Uke kukauka tena japokuwa inashauriwa kubadili au kutumia
kilainisho kilichotengenezwa kwa ajili hiyo. Makampuni mengi ya bihaa hzi
yanatoa mafuta maalum kabisa kwa ajili ya kukuongezea ile hali ya ulaini amabo
unakulinda wewe kwa kuzuia Condom kupasuka/chanikakutokana na ukavu wa Uke na
vilevile kumuongezea mwanamke raha ya tendo. Condoms
hazimsababishii mwanamke maumivu bali ile hali ya wewe kumfanya mwanamke mwenye
uke mkavu kwa muda mrefu ndio inasababisha maumivu. Ili ufurahie Ngono basi
ni vema ukatafuta mwanamke mmoja umpendae na yeye akupende na mfanye tendo kwa
ushirikiana na kumbuka ku-focus kwenye kufurahia tendo zaidi kuliko kupiga mabao
na mambo yatakuwa bomba kabisa.
0 comments:
Post a Comment