May 12, 2014

  • RIHANA KAMA WEMA SEPETU, WATU WAMSHANGAA ALIPOENDA KATIKA GAME YA CLIPPERS. CHEKI PICHA HAPA

     
     
     
     

     rihanna-clippers-1
    Rihanna ameonekana kufuatilia game nyingi za kikapu baada ya kumshangilia  LeBron James kwenye game ya Nets vs Miami Heat iliyochezwa Miami, Riri alisafiri tena kwenda kutazama Game 3 ya Western Conference semifinals kati ya Los Angeles Clippers na Oklahoma City Thunder mjini  L.A. ijumaa. rihanna-clippers-2 rihanna-clippers-3 rihanna-clippers-4
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.