Mwanariadha wa kike wa South Africa ambaye pia
mshindi wa Medali ya Olypinc Caster Semenya imeripotiwa anataka kumuoa
mwanariadha mwenzake Violet Rasebova.
Caster Semenya akiwa Violet Rasebova |
Kwamujibu wa wa website ya Daily Sun, Semenya
(23) aliwatuma wazazi wake wapeleke posa na kujadiliana kuhusu mahali. .......STORY ZAIDI
0 comments:
Post a Comment