Kuwa MKE wa Mtu sio jambo rahisi kama wengi wanavyodhani:Wengi hudhani kuwa Mke ni KUVAA pete ya gharama ya Jamaa,kukaa siti ya Mbele kwenye Gari na Jamaa,Kuongozana Supermarket...kuna vitu nimegundua wanawake wengi wanakosa kwenye Ndoa zao...
1.KUUMIZA KICHWA na kuwaza umfanyie nini Mumeo ambacho hawezi kufanyiwa na mwanamke mwingine(Acha kuzoelea Ndoa)
2.Hata Uwe BUSY vipi na KAZI,SHULE,BIASHARA na UCHOVU kiasi gani n.k. USISAHAU KUWA WEWE NI MKE WA MTU na unatakiwa kutimiza Majukumu yako kama Mke kwa kiwango cha Juu pale pale(N0 Excuse kwenye Identity yako)kama Kupika,kufua,Taking Care of yr House,Taking Care of yr Husband..n.k
3.Bila kujali Uelewa wako,haiba yako,Elimu yako,Umaarufu wako,Uwezo wako...UTII kwa Mumeo si jambo la kuchezea...hata kama hutaki hakuna mwanaume anayechukulia kirahisi kuona mke wake anaongea kwa majibizano
3.Bila kujali Uelewa wako,haiba yako,Elimu yako,Umaarufu wako,Uwezo wako...UTII kwa Mumeo si jambo la kuchezea...hata kama hutaki hakuna mwanaume anayechukulia kirahisi kuona mke wake anaongea kwa majibizano
Kudhalilishwa,kubishanabisha,kudharauliwa,kutokuaminiwa,kutokusikilizwa n.k Usione amenyamaza kuna siku atafanya maamuzi ambayo hutaamini.....Wengi wameharibu JUST kwa sababu rahisi kama hizo walidhani kuwa MKE wa Mtu ni Vigelegele tu...Sio Rahisi kuitwa MKE wa Mtu.
Kwa Hisani ya Matthew Sasali....
0 comments:
Post a Comment