May 12, 2014

  • POLISI WATUMIA NGUVU NYINGI KUPAMBANA NA MWANAMKE KWA KOSA LENYE UTATA

     
     >Polisi Mkoani Mtwara wakiwa wamemzingira mwanamke (aliye kwenye gari) aliyekamatwa kwa kosa la kutovaa kofia ngumu(helmet) alipopanda pikipiki katika kituo cha mafuta cha Mnarani hivi karibuni. Haikueleweka kwanini polisi hao walitumia nguvu kubwa kumkamata kwa kosa hilo. Picha na Mpigapicha Wetu
    Polisi Mkoani Mtwara wakiwa wamemzingira mwanamke (aliye kwenye gari) aliyekamatwa kwa kosa la kutovaa kofia ngumu(helmet) alipopanda pikipiki katika kituo cha mafuta cha Mnarani hivi karibuni. Haikueleweka kwanini polisi hao walitumia nguvu kubwa kumkamata kwa kosa hilo. Picha na Mpigapicha Wetu
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.