May 11, 2014

  • MBUNGE MTATA WA CCM NZEGA DR. HAMIS KIGWANGWALLA AFUNGUKA TENA LIKE NEVER BEFORE ONA ALICHOSEMA LIVE!!

     

    "Jana nikimpokea KM wa CCM Ndg. Kinana katika Wilaya ya Nzega.... 'Karibu Nzega Komredi...' Ndg huyu amejijengea profile ya kuwa ni miongoni mwa wanaCCM katika miaka hii aliyejitoa kukijenga Chama kwa nguvu zake na aliyesimama kwenye misingi ya haki, usawa, ukweli na uwajibikaji kwa umma!"

  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.