May 13, 2014

  • HUYU NDO MSANII ALIYEJITOKEZA NA KUSEMA DIAMOND KAIBA WIMBO WAKE WA KITORONDO, SOMA MKASA MZIMA HAPA



    INASEMEKANA Diamond Kamwibia Wababa Mtuka Baadhi Ya Mashairi PamoJa na Idea Mzima ya Nyimbo Yake Ya KITORONDO
    Track Ya Wababa Inasemekana  Imetoka Miaka Miwili Iliyo Pita[2012] iLa Haikupata air Time Yakutosha kwenye RADIO STATION Za BONGO
     Track Yenyewe Ya Wababa Hii Hapa Unaweza Isikiliza
    CREDIT : DJ MWANGA
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.