The Currently Biggest Bongo Flava Icon
kutoka Tandale; Diamond platnumz a.k.a The president kutoka Wasafi
classic, inasemekana ndiye msanii wa Bongo Flava anayefanya vizuri zaidi
kimuziki kuliko wasanii wote nchini kwa sasa!
Historia ya muziki wake ni ya kuhuzunisha na kutia majonzi kama alivyoielezea katika wimbo wake wa Binaadam Wabaya ..ambao ulifanya vizuri katika anga la muziki hapa nchini na nchi za jirani..
Hata Hivyo jitihada zake zimemsaidia kumfikisha
katika malengo yake ya miaka mingi, Na pia kuweza kumuhamisha katika level ya
ku-hustle ki-underground na kuwa Bonge la Star ndani na hata nje ya mipaka ya
Tanzania!
Kwa hivi sasa, mbali na kuwa ndiye msanii anayependwa zaidi na mwenye mashabiki wengi kuliko wote nchini, Diamond ndiye msanii anayeongoza kwa kufanya shows nyingi nzuri na kulipwa pesa nyingi kuliko wote (almost 8 milions per show).. This is so wonderful!!!!
Katika kudhihirisha uwezo wake na nia njema aliyonayo juu ya industry hii ya muziki wa bongo flava, Diamond ndiye msanii pekee aliyeweza kuajiri vijana (madensa) na kuwalipa vizuri pamoja na kuishi nao kama ndugu, kitu ambacho hakijawahi kufanywa na msanii yeyote tangu kuanza kupata umaarufu kwa muziki huu wa bongo flava!
Kama hiyo haitoshi, Hivi sasa Diamond platnumz ameamua kupanua wigo wa ajira kwa Kuanzisha mchakato wa kutafuta washiriki rasmi kwa ajili ya video zake (video models) Kwa utaratibu wa kufanya Audience, lengo likiwa si wa kuwapa ajira tu, bali heshima wanayostahili tofauti na ilivyozoeleka kuwa ni wahuni tu wa kuokota mtaani!
Haya yote ni mageni lakini yanafaa kuigwa, Wasanii wa tasnia zote nchini wanapaswa kuiga mfano wa DIAMOND wa kuwa wabunifu na kufikiria mapinduzi ya kisanaa kwa ajili ya vizazi vijavyo na kuacha kuwa wabinafsi..
BIG UP DIAMOND PLATNUMZ..!
SALUTEEEEEEEE!!!!!!
Hit-songs
anazo-make kila kukicha;
Kama vile Mbagala, nitarejea,Moyo wangu,
mawazo, nimpende nani, lala salama, na nyingine nyingi ndizo zimemwezesha msanii
huyu mwenye Umri mdogo kuweza kupata mialiko mingi ya kufanya shows nyingi
nchini na ughaibuni; mfano Napoly-Italy, London, Na Washington DC alikoenda hivi
karibuni.Historia ya muziki wake ni ya kuhuzunisha na kutia majonzi kama alivyoielezea katika wimbo wake wa Binaadam Wabaya ..ambao ulifanya vizuri katika anga la muziki hapa nchini na nchi za jirani..
Kwa hivi sasa, mbali na kuwa ndiye msanii anayependwa zaidi na mwenye mashabiki wengi kuliko wote nchini, Diamond ndiye msanii anayeongoza kwa kufanya shows nyingi nzuri na kulipwa pesa nyingi kuliko wote (almost 8 milions per show).. This is so wonderful!!!!
Katika kudhihirisha uwezo wake na nia njema aliyonayo juu ya industry hii ya muziki wa bongo flava, Diamond ndiye msanii pekee aliyeweza kuajiri vijana (madensa) na kuwalipa vizuri pamoja na kuishi nao kama ndugu, kitu ambacho hakijawahi kufanywa na msanii yeyote tangu kuanza kupata umaarufu kwa muziki huu wa bongo flava!
Kama hiyo haitoshi, Hivi sasa Diamond platnumz ameamua kupanua wigo wa ajira kwa Kuanzisha mchakato wa kutafuta washiriki rasmi kwa ajili ya video zake (video models) Kwa utaratibu wa kufanya Audience, lengo likiwa si wa kuwapa ajira tu, bali heshima wanayostahili tofauti na ilivyozoeleka kuwa ni wahuni tu wa kuokota mtaani!
Haya yote ni mageni lakini yanafaa kuigwa, Wasanii wa tasnia zote nchini wanapaswa kuiga mfano wa DIAMOND wa kuwa wabunifu na kufikiria mapinduzi ya kisanaa kwa ajili ya vizazi vijavyo na kuacha kuwa wabinafsi..
BIG UP DIAMOND PLATNUMZ..!
SALUTEEEEEEEE!!!!!!
0 comments:
Post a Comment