May 25, 2014

  • FRANK LAMPARD AFIKIA MWISHO WA SALIO CHELSEA …afungashiwa virago na kuambiwa bye bye



    FRANK LAMPARD AFIKIA MWISHO WA SALIO CHELSEA …afungashiwa virago na kuambiwa bye bye
    FRANK LAMPARD AFIKIA MWISHO WA SALIO CHELSEA …afungashiwa            virago na kuambiwa bye bye

    CHELSEA imetangaza rasmi kumwachia kiungo wake veteran Frank Lampard na sasa yuko huru kujiunga na timu yoyote.

    Mwanzoni kulikuwa na matumani kuwa Chelsea na Lampard wangefikia maafikiano ya kuongeza mkataba mpya wa mwaka mmoja lakini hilo sasa halipo.

    Chelsea inaamini ni wakati muafaka wa kusitisha huduma za kiungo huyo atakayeichezea England kwenye michuano ya kombe la dunia mwezi ujao nchini Brazil.

    Mwingine ambaye naye hahitajiki tena Chelsea ni mshambuliaji wa Cameroun Samuel Eto'o.



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.