May 19, 2014

  • Devi kamkuta ombaomba njiani

    Devi kamkuta ombaomba njiani,
    Devi: Utajisikiaje nikikupa milioni 2
    Ombaomba: Ntakufa kwa furaha
    Devi: Okay kwaheri sitaki kuuwa mtu mimi
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.