HATARI..dakika
hii hapa Kitangiri..watu wawili papo hapo (mama mmoja na kijana wa kiume)
wamefariki dunia mara baada ya gari dogo (gari
lililowagonga hilo jeusi) lililokuwa
likiendeshwa kwa kasi kuwagonga wananchi hao ambao walikuwa wakivuka barabara
katika eneo la Kirangiri Kirumba jijini Mwanza.
Juhudi
za wasamaria wema kusitiri miili ya watu hao zinaendelea kufanyika eneo la ajali
ikiwa ni pamoja na kuwakimbiza Hospitali kwa uhakiki..
Dereva
wa gari hilo alitokomea kusiko julikana mara tu baada ya kusababisha ajali
hiyo.
@Bernard
James.
0 comments:
Post a Comment