May 20, 2014

  • BREAKIN NEWZZ:- WALEMAVU WAFUNGA BARABARA BONGO SASA HIVI LIVE!!

     
     
     

    Dar es Salaam, Tanzania.  
     
    Wafanyabiashara walemavu hivi punde wamefunga makutano ya barabara ya Uhuru na Kawawa jijini Dar es Salaam wakishinikiza wamewe eneo la Karume kwa ajili ya kufanyia biashara.
     
    Kutokana barabara kufungwa, abiria wanaangaika huku na kule kwa ajili ya kupata usafiri na kuendelea na shughili zao na kawaida.
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.