May 20, 2014

  • ANGALIA PICHA MAANDALIZI YA KUAGA MWILI WA ADAM KUAMBIANA VIWANJA VYA LEADERS

     
     
     

    Mwili wa marehemu Adam Kuambiana utawekwa mahali hapa.
    Waombolezaji watakaa mahali hapa.
    Eneo hili ndipo mwili wa marehemu Adam Kuambiana utakapoagwa leo asubuhi kabla ya kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.