May 23, 2014

  • WAPIGANA HADHARANI KISA SIMU



    WAPIGANA HADHARANI KISA SIMU

      Vijana wawili wakipigana hadharani maeneo ya Bamaga-Sinza, Dar kisa kikidaiwa ni simu ya mkononi.

    KATIKA pitapita ya kamera yetu leo mtaani imewanasa vijana wawili wakipigana hadharani kisa kikidaiwa kuwa ni simu ya mkononi.Vijana hao walikuwa wakipigana maeneo ya Bamaga-Sinza, Dar ambapo walijaza watu ambapo ilidaiwa kwamba mmojawapo ni fundi wa bajaji ambaye aliachiwa simu rehani na kumpa huyo kijana shilingi elfu mbili lakini baada ya kurudi na kutaka arudishiwe simu yake akakuta amebadilishiwa hali ambayo ilisababisha washikane mashati na kuanza kupigana huku wakijaza watu kibao.



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.