Meneja
wa Usimamizi Endelevu wa Mazingira asilia Chome,William Nambiza
akiwaonesha waandishi eneo lilillovamiwa na wachimbaji Madini na baadae
walifanikiwa kuwaondoa, kwa siku walikuwa wanaingia zaidi ya 600,000
wakichanganyika na wa nchi jirani.
Waandishi
wa vyombo mbalimbali vya habari waliofanya ziara ya kuona mazingira ya
mto Chome ambalo ni chanzo cha maji yanayokwenda mto Saseni na kutoa
maji kwa wakazi wa Same na kumwaga maji Bonde la umwagiliaji Ndungu,Ruvu
na Pangani.
Meneja wa Usimamizi Endelevu wa Mazingira asilia Chome,William Nambiza
akiwaonesha waandishimiti waliopanda eneo la machimbo ya madini ya msitu
wa Chome.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
0 comments:
Post a Comment