May 25, 2014

  • REAL MADRID BINGWA ULAYA, YAITANDIKA ATLETICO MADRID 4-1



    REAL MADRID BINGWA ULAYA, YAITANDIKA ATLETICO MADRID 4-1
    Nahodha wa Real Madrid, Iker Casillas akiwa ameinua Kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuwafunga jirani zao, Atletico mabao 4-1 usiku huu Uwanja wa Luz mjini Lisbon, Ureno. Hilo linakuwa taji la 10 la michuano hiyo kwa Real.

    Uplifting: Ronaldo gets                    his hands on the trophy in Lisbon after Real's extra                    time victory
    Mfungaji wa bao la nne la Real, Cristiano Ronaldo akiwa ameinua Kombe
    Landmark: Real Madrid's                    players celebrate their 10th European Cup triumph
    Kikosi cha Real Madrid kikifurahia na Kombe hilo


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.