May 18, 2014

  • RAIS WA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA VIETNAM.

     
    IMG_1060Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Vietnam Bibi Nguyen Phuong Nga,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi na ujumbe aliofuatana nao.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
    IMG_1073Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Vietnam Bibi Nguyen Phuong Nga,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi na ujumbe wake.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]IMG_1116Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akifuatana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Vietnam Bibi Nguyen Phuong Nga,baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi  .[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
    IMG_1137Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akiagana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Vietnam Bibi Nguyen Phuong Nga,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi na ujumbe aliofuatana nao.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.