Hosni Mubarak wakati
kesi yake ilipokuwa inaendelea.
Wanawe wawili Alaa na
Gamal wamepata kifungo cha miaka minne kila mmoja.
Wendesha mashitaka
walisema kuwa wanawe
Mubarak waliponda
mamilioni ya dola pesa za umma zilizotengewa kukarabati ikulu ya Rais na badala
yake wakafanyia ukarabati nyumba zao za kifahari.
Wametakiwa kulipa pesa
hizo za serikali na kutozwa faini ya dola milioni tatu..
0 comments:
Post a Comment