Jamani natafuta boyfriend ila awe serious maana
huu upweke sasa unaelekea kuniua... Mchumba niliekuwa nae kapata ajali mwaka
jana ikiyopoteza maishaa yake... Ni mwaka sasa umepita nadhani nahitaji kurudi
sawa Nimechoka kukaa peke yangu upweke noma sana...Nataka mtu Mstaarabu, Mpole
kiasi , Mchapa Kazi mwenye Kupenda Maendeleo...
Kama Vipi wacha e-mail yako ama number ya
simu...ntaamua yupi nimtafute nijaribu
0 comments:
Post a Comment