July 15, 2014

  • MBUNGE GODFREY MGIMWA AKABIDHI MSAADA WA BATI KIJIJI CHA USENGERENDETI NA MAHANZI




    MBUNGE GODFREY MGIMWA AKABIDHI MSAADA WA BATI KIJIJI CHA USENGERENDETI NA MAHANZI
    Katibu  wa mbunge  wa jimbo la Kalenga  Bw  Martine Simangwa  kushoto akikabidhi msaada wa bati  100 kwa  uongozi wa kijiji cha Usengerendeti  kwa  ajili ya ujenzi wa nyumba ya wauguzi wa Zanahati ya  kijiji  .
    Wananchi  wakishiriki kushusha  bati  hizo
    Katibu  wa mbunge Mgimwa Bw Martine Simangwa akieleza kazi mbali mbali  zilizofanywa na mbunge Godfrey Mgimwa toka alipochaguliwa 




  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.