May 25, 2014

  • KUTOKA MAKTABA: MWALIMU NA WALIOKUWA WAANDISHI WAKE WA HABARI

    1985 (siku 10 kabla Mwalimu hajastaafu Urais) : Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwa na waliopata kuwa Waandishi wake wa habari katika picha ya kumbukumbu Ikulu, Dar es salaam. Kutoka kushoto ni Sammy Mdee (RiP) , Paul Sozigwa, Mwalimu (RiP) Hashim Mbita na Benjamin William Mkapa.
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.