May 25, 2014

  • BALOZI KAMALA AKUTANA NA GAVANA WA HAINAUT UBELGIJI

    Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akizungumza katika tafrija iliyoandaliwa na Gavana wa Hainaut Mhe. Tommy Leclercq kuwashukuru wadau wa reli na bandari kutoka Tanzania kwa kutembelea Ubelgiji. Mhe. Leclercq ameahidi kushiriki ziara ya Wawekezaji na Wafanyabiashara wa Ubelgiji watakaotembelea Tanzania mwaka huu.

  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.