Mama mmoja alikuwa anaishi na
mwanawe Dogo na mama yake mzazi. Siku moja Dogo akipigwa na bibi yake akaamua
kupiga kelele.
DOGO: Heri ufe tu wewe........... Mama yake akamsikia
MAMA DOGO: Unasema nini we mwanaharamu? Unamuombea mama yangu afe? Mungu atakulaani mama yako ndio atakufa

0 comments:
Post a Comment