May 17, 2014

  • PICHA ZA SHEREHE YA KUMWAGA ALIYEKUWA KOCHA WA YANGA

     


    Hans Van Der Pluijm akiwa na Katibu Mkuu wa Yanga SC Bw Beno Njovu na Afisa Habari Baraka Kizuguto wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika jioni ya leo makao makuu ya klabu ya Yanga SC
    Cocktail Party ya Kumuaga Kocha Hans Der Pluijm iliyofanyika jana kwenye Ukumbi wa Mikutano uliopo makao makuu ya klabu. Kocha Pluijm alikabiziwa kadi ya uanachama wa timu ya Yanga pia katika hafla hiyo.
    Bofya hapa kuangalia picha zaidi >>>>>>
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.