Gari lenye namba za Usajili
T 671 AYH likiwa limeteketea kwa moto katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi na
kutelekezwa pembezoni Mwa barabara hiyo eneo la Moroco karibu na Mataa. Gari
hilo ambalo kwasasa huwezi kulitambua ni aina gani ya gari limetekea lote na
kupelekea kuwa kivutio kwa wapita njia wa barabara hiyo. Hapo wapita njia
wakiliangalia gari hilo lililoteketea kwa moto.
Wapita Njia wakiangalia
gari lililoteketea kwa moto pembezoni mwa barabara ya Ali Hassan Mwinyi na
kutelekezwa eneo la Moroco karibu na Mataa ya kuongozea magari
Kijana mpita Njia akilipiga
picha
Mmoja wa wapita njia
akilikagua gari hilo lililoteketea kwa moto mapema leo na kutelekezwa pembezo
mwa barabara ya Ali Hassan Mwinyi eneo la Moroco karibu na Mataa ya Kuongozea
Magari.Picha Zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog
0 comments:
Post a Comment