May 14, 2014

  • BASI LA ABIRIA LAPATA AJALI ENEO LA KIBITI MKOA WA PWANI



    Basi lilalofanya safari zake kati ya Mbagala Rangi Tatu na Kimanzichana lapata ajali jana katika eneo la Kibiti, Mkoa wa Pwani. Mpaka tunaondoka eneo la Tukio hakuna taarifa ya aliyepoteza maisha. PichaLukaza Blog
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.