STAA
wa sinema za Kibongo, Halima Yahaya ‘Davina’ amefunguka kifo cha mwigizaji Adam
Kuambiana kinampa majonzi zaidi kila anapofikiria muvi waliyocheza kwa mara
mwisho na marehemu.
Akieleza
masikitiko yake, Davina alisema kabla Kuambiana hajapatwa na umauti, waliigiza
naye sinema ya Stupid Farther na Who is My Son akiwa na Mtitu (William) ambazo
zote bado hazijatoka.
0 comments:
Post a Comment