May 19, 2014

  • AGNES MASOGANGE AMCHORESHA RAFIKI YAKE HUKO INSTAGRAM!!!! JIONEE MWENYEWE

     
     
     
     
    Dada yetu Agnes Masogange leo kupitia mtandao wa #INSTAGRAM ameweka picha zake akiwa na rafiki yake ambaye kwa mujibu wa  comments za Followers wa Masogange ni kwamba analaumiwa kwa kama amemchoresha hivi rafiki yake kwani yeye Masogange ana FIGURE matata wakati rafiki yake ndio hivyo tena........ Jionee mwenye hapa!!! hizo Photos zilizo leta mzozo huo

  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.