July 31, 2014

  • PICHA:HUKU WAASISI WA VICTORIA FOUNDATION WAKILA BATA VYA KUTOSHA SIKUKUU YA IDD, VICTORIA FOUNDATION YAWAPONGEZA WAISLAMU WOTE DUNIANI KWA KUSHEHEREKEA SIKUKUU YA IDD KWA AMANI,




    PICHA:HUKU WAASISI WA VICTORIA FOUNDATION WAKILA BATA VYA KUTOSHA SIKUKUU YA IDD, VICTORIA FOUNDATION YAWAPONGEZA WAISLAMU WOTE DUNIANI KWA KUSHEHEREKEA SIKUKUU YA IDD KWA AMANI,
    Na Steven Mruma [Dar es salaam]
        Jana ilikua idd pili Victoria Foundation ilitumia muda huo kuwapongeza waislamu wote duniani kwa kusheherekea sikukuu hiyo kwa amani. lakini pia haikuishia hapo waliwasihi kuendeleza yale mazuri waliyojifunza katika kipindi chote cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. 
        Katika kumaliziamalizia sikukuu ya IDD kulifanyika part ya nguvu na Mwenyekiti wa victoria foundation akiwa na ndugu na marafiki zake walikula bata vya kutosha ya kusindikiza iddi pili.
    Sehemu ya waislamu wakiswali sala ya Iddi
    Bata zikiendelea siku ya Idd pili
    Sifa kubwa siku ya sikukuu ni kula tu na hakika watu tulikula
    Huo ulikua ni mtoko maalum wa siku ya Iddi pili

    Bata zikiendelea na pia kuchat kuwatakia ndugu na jamaa na marafiki Idd Mubarak

    Ilikua ni Kula na kunywa kwenda mbele

    Bata zikiendelea

    Kupendeza siku muhimu kama ya sikukuu lilikua na jambo la muhimu na huo ndio ulikua mtoko wa dada yetu



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.