August 12, 2015

  • WANAWAKE WENYE ULEMAVU WAELIMISHWA JUU YA UCHAGUZI



    WANAWAKE WENYE ULEMAVU WAELIMISHWA JUU YA UCHAGUZI
     Mkurungenzi Mtendaji wa kituo cha msaada wa Sheria kwa Wanawake (WLAC) Theosia Nshala akuzungumza kwenye mdahalo na wanawake wenye ulemavu (TAMAWA) juu ya taratibu mbarimbari za Uchanguzi hususani hari za mwanamke katika Uchanguzi hapa nchini katika mdahalo uliofanyika  Jijini Dar es Salaam.
     Mwanaharakati na Mtaaramu wa Jinsia na Haki za Binadam Gema Akilimali, akuzungumza kwenye mdahalo na wanawake wenye ulemavu (TAMAWA) juu Kuwajengea wanawake ufahamu na ujasiri wa kushiriki katika Uchanguzi kama wagombea,wapiga kura wafutiliaji na waangalizi katika mdahalo uliofanyika Jijini Dar es Salaam.
    Sehemu ya   wanawake wenye ulemavu (TAMAWA) wakiwa katika mkutano leo Jijini Dar es Salaam.
     Picha na Emmanuel Massaka.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.