Waziri wa Afrika Mashariki Dk. Harrison Mwakyembe ambaye alikuwa amgeni rasmi katika semina kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini akifungua rasmi semina hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akitoa hotuba yake wakati wa semina kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Beki ya CRDB, Tully Mwambapa akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei kutoa hotuba yake wakati wa semina kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini iliyoandaliwa na benki hiyo na kufanyika jijini Mbeya.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Beki ya CRDB, Tully Mwambapa akiwaongoza wageni waalikwa kuimba wimbo maalumu wa Benki hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akifurahia jambo na Waziri wa Afrika Mashariki Dk. Harrison Mwakyembe (katikati) wakati wa semina ya Benki ya CRDB kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini iliyofanyika jijini Mbeya. Kushoto ni Mkuu Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Nyirembe Munasa.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB wakiwa katika semina ya Benki ya CRDB kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini iliyofanyika jijini Mbeya
Baadhi ya washiriki wa semina ya viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini iliyofanyika jijini Mbeya wageni wakiimba wimbo maalumu wa Benki hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akifafanua jambo kwa Waziri wa Afrika Mashariki Dk. Harrison Mwakyembe ambaye alikuwa Mgeni Rasmi katika halfa ya Benki ya CRDB kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini
Waziri wa Afrika Mashariki Dk. Harrison Mwakyembe akizungumza na waandishi wa habari.
Baadhi ya washiriki wa semina iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini iliyofanyika jijini Mbeya.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akifafanua jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa CRDB tawi la Mbalali, Chibby Chibby (katikati) na Meneja wa tawi la Mwanjelwa, Ephraim Lwilla.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akifafanua jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa CRDB tawi la Mbalali, Chibby Chibby (katikati) na Meneja wa tawi la Mwanjelwa, Ephraim Lwilla.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akimkaribisha Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Nyirembe Munasa wakati wa semina kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini iliyoandaliwa na benki hiyo na kufanyika jijini Mbeya. (Picha na Francis Dande)
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Nyirembe Munasa (kulia) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei wakati wa semina kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini iliyoandaliwa na benki hiyo na kufanyika jijini Mbeya. Katikati ni Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Mwanjelwa, Ephraim Lwilla.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akibadilishana mawazo na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Nyirembe Munasa (kulia) wakati wa semina kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini iliyoandaliwa na benki hiyo na kufanyika jijini Mbeya. Katikati ni Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Mwanjelwa, Ephraim Lwilla.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akimkaribisha mgeni rasmi Waziri wa Afrika Mashariki Dk. Harrison Mwakyembe katika semina kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini iliyoandaliwa na benki hiyo.
0 comments:
Post a Comment