Moja            ya matukio yaliyonifikia August 25 ni pamoja na hii ajali ya            daladala linalofanya safari kati ya Tabata-Segerea- Mnazi                Mmoja iliyotokea maeneo ya Tabata Matumbi.
        Shuhuda            wa ajali hiyo amesema basi hilo lililokua likitokea mjini            lilikikwepa lori na kudumbukia kwenye mtaro huku baadhi ya            abiria wakijeruhiwa.
        Nimekuwekea            hizi picha za tukio hilo….
                                        PICHA  KWA HISANI YA MILLARD AYO          .COM
        PAPO
        
0 comments:
Post a Comment