August 14, 2015

  • KIPA JOEL PEREIRA AMEONGEZA MKATABA NA MANCHESTER..MAANA YAKE NINI KWA DE GEA


    KIPA JOEL PEREIRA AMEONGEZA MKATABA NA MANCHESTER..MAANA YAKE NINI KWA DE GEA

    pereira

    Goli kipa wa Manchester united ambae amechukua namba ya David De Gea ameongeza mkataba na Manchester united. Kipa huyo ame-post picha na kuandika "work harder than ever".

    Wakati David De Gea hatacheza kwenye mechi ya leo na kipa huyu anamesaini mkataba ambao haujajulikana ni wa muda gani lakini wachambuzi wa mambo wanasema hali sio nzuri kwa De Gea au akipewa namba hatafanya makosa ili kutetea namba yake.

    Pereira amesema kwamba ana furaha kuongeza mkataba mpya na Manchester united na pia anataka kufanya kazi kwa bidii zaidi ya zamani.

     



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.