
Najua              nina watu wangu wanaopenda stori za siasa sasa stori              ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwenye Chama cha              ACT-Wazelendo ambacho leo kimepitisha majina mawili , Anna              Elisha na Mussa Yusuph kuwa wao wagombea urais kwenye              uchaguzi Mkuu wa Tanzania October .
        .Kiongozi              wa ACT- Wazalendo Zitto Kabwe
        Hawa              ndio walioteuliwa kugombea urais kupitia chama cha ACT –              Wazalendo , Anna Elisha na Mussa Yusuph.
        Kitila              Mkumbo akizungumza na wanachama.
        
0 comments:
Post a Comment