August 19, 2014

  • PINDA AFUNGUA KIWANDA CHA NONDO CHA KAMAL



    PINDA AFUNGUA KIWANDA CHA NONDO CHA KAMAL

    PG4A1979

    Waziri Mkuu,  Mizengo Pinda  akikata utepe kuzindua  upanzi wa  kiwanda cha Kamal Steel LTD  kilichopo Chng'ombe jijini Dar es salaam August 17, 2014. Kulia kwake ni  Mwenyekiti wa kamal Steel  Limited, Gagan  Kamal . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) PG4A1995WazirI Mkuu Mizengo Pinda akipata maelezo  kutoka kwa mtaalamu wa viwango wa kiwanda  cha nondo cha  Kamal Steel  Limited cha Chang'ombe jijini Dar es salaam,  Bwana Jijo  kuhusu upimaji ubora wa nondo unaofanywa kitaalamu katika kiwanda hicho wakati  alipozindua  upanuzi wa kiwanda hicho   August17, 21(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

    PG4A2010Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akikagua uzalishaji nondo katika kiwanda cha Kamal Steel Limited cha Chang'ombe jijini Dar baada ya kuzindua upanuzi wa kiwanda hicho, August 17, 2014. Kushoto ni Mwenyekiti  wa kiwanda, Gagan Kamal. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.