Juu na chini ni Maafisa Ubalozi wa Tanzania nchini
Marekani na msafara wa Mhe. Benjamin Mkapa wakifuatilia mzungumuzo
hayo.
Juu na chini ni Balozi Liberata Mulamula akiwa na
wageni wake, Rais Mstaafu awamu ya tatu Mhe. Banjamin Mkapa na mkewe Mama Anna
Mkapa pamoja na marafiki zao wa siku nyingi Toyin Rose na mumewe ambao wanaishi
Bethesda, Maryland wakiwa meza ya chakula.
Rais mstaafu Mhe. Benjamin Mkapa akipokea zawadi ya
kitabu toka kwa Afisa Mindi Kasiga.
Mama Anna Mkapa akipokea zawadi ya viatu kutoka kwa
Afisa Mindi Kasiga,
Picha ya pamoja ya Balozi Liberata Mulamula na Mhe.
Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa wakiwa pamoja na marafiki zao wa siku
nyingi Bi.Toyin Rose(kushoto) na mumewe.
Picha ya pamoja Mhe. Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna
Mkapa pamoja na mwenyeji wao Mhe. Libarata Mulamula.
Picha ya pamoja na Maafisa Ubalozi
Balozi Mulamula akiwasindikiza wageni wake Mhe.
Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa walipokua wakiondoka.
0 comments:
Post a Comment