May 13, 2014

  • MAVAZI YA MREMBO JOKATE YA WADATISHA WANAFUNZI CHUO KIKUU DAR ES SALAAM (UDSM)

     
     
     
     

     

                    Wakatu Mrembo Jokate  akipita katika moja ya maeneo ya chuo kikuu cha Dar es salaam,

    wanafunzi wa chuoni hapo walijikuta wakimtolea jicho na kumshangaa kutokana na kivazi cha mitego alichovaa,
    huku mwenyewe akionekana kuwa bize na mambo yake akiwa hajui kinachoendelea
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.