May 17, 2014

  • HASHEEM THABEET NA MCHUMBA WAKE BEE ANDERSON WAPATA MTOTO WA KIUME

     
     
     
     

    Mtanzania anayecheza mpira wa kikapu katika timu kubwa ya 'Thunder aka OKC' katika jijini la 

    Oklahoma, Marekani Hasheem Thabeet aka Hasheem The Dream wiki sita zilizopita amepata mtoto wa kiume(Baby Boy) aliyezaa na msichana wa kimarekani anafahamika kwa jina la Bee Anderson alias Love Queen
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.