May 25, 2014

  • Dr. Shein Mgeni rasmi wa Zanzibar Modern Taarab

    IMG_1611Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la  Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akipokea album Mbili za nyimbo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kikundi cha Muzik cha “Zanzibar Modern Taarab”Abdalla Ali akiwa mgeni rassmi katika sherehe za Kikundi kutimiza Miaka 7 Tokea kuanzishwa,hata hivyo Rais amekichangia kikundi hicho   Shillingi za kitanzania Millioni Nane,hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar.[Picha na Ramdhan Othman,Ikulu.]

    IMG_1680Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la  Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa  Kikundi cha Muzik cha “Zanzibar Modern Taarab” akiwa mgeni rassmi katika sherehe za Kikundi hicho kwa kutimiza Miaka 7 Tokea kuanzishwa,  Rais amekichangia  kikundi hicho   Shillingi za kitanzania Millioni Nane,hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar.[Picha na Ramdhan Othman,Ikulu.]
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.