May 10, 2014

  • CATHY: NITAIGIZA HADI SIKU NAKWENDA KABURINI

     
    MKONGWE wa filamu kutoka Bongowood, Sabrina Rupia 'Cathy' amefunguka kuwa hataacha kuigiza mpaka siku anaingia kaburini.
    Mkongwe wa filamu kutoka Bongowood, Sabrina Rupia 'Cathy'
    Akipiga stori mbilitatu na mwandishi wetu, Cathy ambaye aliyetamba na Tamthiliya ya Simu ya Mkononi alimshukuru mumewe kwa kumpa sapoti mpaka alipofikia.
    "Kwenye filamu imeanza kuigiza toka sini za watoto, vijana na sasa naelekea kuigiza kasti za kizee, siwezi kuacha mpaka nife," alisema
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.