May 16, 2014

  • Wanaume Wananichukulia Tofauti na Nilivyo...Siko Hivyo Jamani

     
     
     
     
    Naombeni mchango wa mawazo, imetokea wanaume wananiambia ati wananiogopa, mie ni mbabe, najiamini sana na wengine huenda mbali kwa kusema mwanamke wa dizain yako sioi.
     
    Kwakweli sipo hivyo na huwa naumia sana mtu anaponitamkia hayo. Nasikitika mana sielewi ni kitu gani na kutongozwa na waume za watu kumezidi il a sio na singles?
     
    Tafadhalini wanajamii naimani kuna watu wanaofahamu vizuri psychology wanishauri jamani.
     
    Asanteni kwa kunijibu bila kejeli
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.