May 16, 2014

  • Tid na Recho wa THT Waongelea Kuhusu Tetesi Kuwa ni Wapenzi

     
     
     
     
    Maneno ya Recho baada ya kuulizwa kuhusu uhusiano wake na Tid >>'Tunaishi wapi na tid,mimi sikai Kinondoni mimi nina mtu wangu na sio huyo Tid naomba msije kunivurugia mapenzi yangu na mtu wangu'.
    Haya nayo ni maneno ya Tid>>'Hivi wewe lini umeniona mimi na Recho zaidi ya kwenda studio na kuondoka hii inakuaje sasa demu wangu mpaka nimuoe mara mbili tu nimeonana nae, mahaba hayo mi siyajui hayo unayajua wewe'.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.