Waziri wa Nchi Ofisi ya                Makamu wa Rais Mh. Dk. Eng. Binilithi Satano Mahenge wa                pili (kulia), akiwa katika ziara yake ya kukagua mazingira                ya Kiwanda cha bia (TBL) kilichopo kata ya Pasiasi wilaya                ya Ilemela mkoani Mwanza, na wa pili (kushoto) ni Naibu                Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Angelina                Madete,wakati maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani                yakiendelea jijini Mwanza. 
                Waziri wa Nchi Ofisi ya                Makamu wa Rais -Mazingira, Mh. Dk. Eng. Binilithi Satano                Mahenge wa tatu (kulia)akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa                wafanyakazi wa kiwanda cha bia bw. Said Lwambo wa kwanza                (kushoto) juu ya jinsi mashine za Majitaka za kiwanda cha                TBL kinavyofanya kazi na kulinda Mazingira. 
                Mh. waziri wa Nchi Ofisi                ya makamu wa Rais -Mazingira,Dk. Eng. Binilithi Satano                Mahenge wa kwanza (kulia), Naibu Waziri Mh. Ummy Mwalimu                wa kwanza (kushoto)na Mkuu wa Mkoa Eng. Everist Ndikilo wa                pili (kulia) wakizungumza na mmiliki wa Kiwanda cha Coca                Cola (Nyanza bottling) Bw. Christopher Mwita Chuma baada                ya kuwasili ofisini kwake leo jijini Mwanza.
                Naibu Waziri wa Nchi                Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. Ummy Mwalimu wa kwanza                (kushoto)akiwa anafanya usafi eneo la mtaa wa Pamba A                jijini Mwanza stendi ya zamani. 
        
0 comments:
Post a Comment